Tunamuomba Mwenyezi Mungu Atujalie maneno Matukufu ya Qur'an Tukufu na Mafundisho ya Mtume Muhammad (rehma na amani zimshukie na Aali zake) yaendelee kutuongoza na kutupa msukumo katika maisha yetu.
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Tunayo furaha kutangaza kwamba fainali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume kwa mwaka 2025 imekamilika kwa mafanikio makubwa katika Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (s), Tawi la Ivory Coast.
Hafla hii ilijumuisha usomaji wa kuvutia wa Qur'ani Tukufu na uhifadhi wa Hadithi za Mtume (s.a.w), ikionyesha ari, kujitolea kiroho, na ubora wa kielimu miongoni mwa washiriki. Tunawapongeza kwa dhati washiriki na washindi wote, na kuwashukuru waandaaji, majaji, na hadhira wote waliowezesha mafanikio ya tukio hili tukufu.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu Atujalie maneno Matukufu ya Qur'an Tukufu na Mafundisho ya Mtume Muhammad (rehma na amani zimshukie na Aali zake) yaendelee kutuongoza na kutupa msukumo katika maisha yetu.
Your Comment